Friday, October 30, 2015
Sunday, October 4, 2015
Maradhi ya Bawasili (hemorrhoid) i
1) Maradhi ya Bawasili, Mgolo, Mjiko (hemorrhoids)
http://komboherb.blogspot.com
(Picha ya Juu na ya Chini) Mtaalam wa dawa za miti shamba Bw. Yussuf Kombo akifanya ukaguzi wa miti shamba katika bustani ya mitiya dawa ya chuo cha kilimo Kizimbani- Zanzibar. |
Pamoja na Mtaalam Yussuf Kombo, Pia Mtaalam Bwana Fumu Ali Garu akiwa katika kazi ya pamoja ya ukaguzi wa miti shamba katika shamba la chuo cha kilimo kizimbani.
Tumefahamisha hapo awali kuwa maradhi haya yanatokana na sababu nyingi zikiwemo
a) Kuinua vitu vizito au tabia ya kujikamua
b) Kukaa kitako (kukaa chini) muda mrefu (mkandamizo wa njia ya haja kubwa)
c) Kujikamua sana wakati wa haja kubwa: hasa kwa wanaopata choo kigumu (constipation)
d) Kuharisha muda mrefu
e) Kuzaa
f) Kuingiliwa kinyume na maumbile hasa uume ukiwa mkubwa kuliko njia.
g) Kupendelea kula pilipili kali
h) Kupendelea kula nyama (red meat - sio kuku wala samaki)
b) Kukaa kitako (kukaa chini) muda mrefu (mkandamizo wa njia ya haja kubwa)
c) Kujikamua sana wakati wa haja kubwa: hasa kwa wanaopata choo kigumu (constipation)
d) Kuharisha muda mrefu
e) Kuzaa
f) Kuingiliwa kinyume na maumbile hasa uume ukiwa mkubwa kuliko njia.
g) Kupendelea kula pilipili kali
h) Kupendelea kula nyama (red meat - sio kuku wala samaki)
Mambo yafuatayo hujitokeza kwa mtu ambae anasumbuliwa na maradhi ya mgolo ama hemorrhoids
i) Huwa hana hamu ya tendo la ndoa (kwa mwanamke na hata kwa mwanaume)
ii) Mwili huwa unachoka sana hasa alfajiri
iii) Mwanamke mara nyingi huwa hasikii raha ya tendo la ndoa
iv) Mwanamume humaliza haraka tendo la ndoa (hufika kileleni haraka sana) kabla mwenza hajakolea
v) Sehemu za nyuma huwasha (baadhi ya watu)
vi) Kiuno huuma na hukaza sana
vii) Wengine huumwa na miguu
viii) Wengine huwa hawana nuru za macho
ix) Wengine hujisikia ama huota wanafanya tendo la ndoa usingizini (wengi hudai kuwa ni shetani) – ndoto za mapenzi
x) Chuki
Ifahamike kuwa kuna baadhi ya wanawake wakiwa na tatizo hili huwa na tabia ya kuwachukua waume zao. Hii hutokea tu pale mwanaume akiwa katika mazingira ya nyumbani lakini akiondoka mwanamke humhitaji mumewe na kumpenda sana.
Jambo hili linazua tafrani sana majumbani kwani mara nyingi watu hudai kuwa wamerogwa. Wako wanaolipa maelfu ya pesa kwa waganga kutibu kile wanachodai ni mashetani. Ukweli ni kwamba bawasili lina tabia hii. Nasema bawasili kwa maana maradhi yanayokabili njia ya haja kubwa. Tofautisha na maradhi ya NAFSI ambayo hushambulia na kutoka nyama ukeni (vaginal prolapsy, uterus prolapse)
http://komboherb.blogspot.com
3) Maradhi ya bawasili, mgolo, mjiko
Maradhi haya yapo ya aina kumi na tano (15). Maradhi haya hushambulia njia ya haja kubwa. Hujitokeza kwa sura tofauti na hali tofauti. Kwa hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa jumla, aina tatu za maradhi haya ni maarufu sana na yamekuwa yakiwaumiza watu wengi. Katika makala hii nitazitaja aina hizi tatu:
i) Kutoka kinyama katika njia ya haja kubwa
Kuna vinyama vya aina mbili. Cha kwanza ni kirefu hutoka ndani ya njia ya haja kubwa baada ya haja kubwa au mtu anapochutama. Kwa lugha ya kitaalam huitwa skin tab. Cha pili ni kinyama kinachoota pembezoni mwa mzunguko wa njia ya haja kubwa. Kwa kitaalam hiki huitwa external hemorroid . Hizi ni aina mbili za vinyama vinvyoota njia ya haja kubwa.
ii) Mpasuko katika njia ya haja kubwa
Walio wengi hupata maradhi haya. Njia ya haja kubwa hufanya mchaniko pembeni (anal fissure). Mchaniko huu husababisha maumivu makali sana hata mtu hushindwa kukaa. Mara kwa mara hutoa damu hasa mtu anapojisaidi haja kubwa. Maumivu makali hupatina.
iii) Kushuka nyama kubwa njia ya haja kubwa
Baadhi ya walio wengi hushukwa na nyama katika njia ya haja kubwa. Baadhi ya watu wa pwani hasa visiwani huliita nyama hili ni futuru. Hii ni moja ya aina ya maaradhi ya bawasili, mgolo, mjiko.
Kwa kuwa hizi ni aina muhimu zinasosumbua sana hapa ukanda wa pwani wa Afrika Mashariki naomba tuishie hapo. Mungu akipenda siku nyingine utaangalia maradhi mengine.
4) Matibabu
Kuna matibabu ya aina nyingi kwa njia za kihospitali. Ila ni kwamba maradhi haya yanatibika kwa dawa za MITI SHAMBA. Zipo dawa za kunywa na kujipaka. Dawa ya Mega dose, Tumbo tonic na Hemorrhoid oil ni mjarabu na zinatibu vyema hasa iwapo tatizo utaliwahi mapema
5) Tahadhari
- Unapoona dalili hizo hapo juu MUONE DAKTARI au mtabibu anayeaminika. Usijaribu kujikata au kumpa mtu akukate bila utaalam ni HATARI.
- Usikipasue kinyama kilichoota kwani huo ni mshipa wa damu. Damu itamwagika nyingi sana.
- Jiepushe na yote yaliyotajwa hapo juu yanayosababisha maradhi haya
- Ukiona dalili hizo acha kula nyama za wanyama wa miguu minne (red meat)
- Usile pilipili.
- Ukigundua una tatizo hili usile pia sheli sheli, mboga ya muhogo (kisamvu)
- Iwapo imefikia hatua ya kutoka damu basi usile nafaka za maganda mfano maharage, kunde, chooko, mbaazi, fiwi n.k
6) Ushauri kwa wenye tatizo hili
- pendela kula mboga na matunda
- pendelea kula ndizi mbichi za kupikwa
- kunywa juice mchanganyiko ya ndizi mbichi
- acha yote yanayosababisha maradhi haya
- usimchukie mumeo au mkeo
- mwanamke ukiona mumeo amapoteza hamu ya tendo la ndoa au anamaliza haraka, usichukie, juwa hilo ni tatizo. Tuone tukusaidie, lakini kwanza mfanyie juice ya ndizi mchanganyiko anywe na herbal digestive tea.
http://komboherb.blogspot.com
============================================================================
7) Maradhi Mengine
Kombo herbds and Agro-products, tunazo dawa za kutibu: -
- Stroke (maradhi ya baridi)
- Utasa kwa wanawake (pamoja na dawa za kusafisha mirija)
- Vidonda vya tumbo, gesi na kukosa choo
- Maumivu ya miguu, kiuno (nyonga)
- Pumu sugu
- Tunayo dawa nzuri ya kupaka kwa wanosumbuliwa na uvimbe wa ziwa
=================================================
8) Namna ya kuzipata Dawa
Kwa walio mbali na Zanzibar wanaweza kuzipata dawa kwa njia ya poster au kutumiwa dawa zao kwa njia ya meli (hasa walipo Dar Es salaam).
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Mtaalam wa dawa za miti shamba (The Herbalist of Zanzibar)
HDr. Mr. Kombo, Y.H (MSc.)
Po Box 4752 – Zanzibar, Tanzania
Mobile: +255 713 459447 AU +255 0772371701
Emails: yhkombo@yahoo.com ; yussuf.kombo@hotmail.com
Web blog: http//:komboherbs.blogspot.com
Mtaalam wa dawa za miti shamba (The Herbalist of Zanzibar)
HDr. Mr. Kombo, Y.H (MSc.)
Po Box 4752 – Zanzibar, Tanzania
Mobile: +255 713 459447 AU +255 0772371701
Emails: yhkombo@yahoo.com ; yussuf.kombo@hotmail.com
Web blog: http//:komboherbs.blogspot.com
=========================================================================
============================================================
===========================================
UNAWEZA KUSOMA MENGI KUHUSU YUSSUF KOMBO, DAWA ZA MITI SHAMBA NA BIODIVERSITY KUPITIA MITANDAO IFUATAYO
============================================================
===========================================
UNAWEZA KUSOMA MENGI KUHUSU YUSSUF KOMBO, DAWA ZA MITI SHAMBA NA BIODIVERSITY KUPITIA MITANDAO IFUATAYO
zanzibar-biodiversity-climate-energy.blogspot.com/
komboabstracts-kombo.blogspot.com/
www.kilimoznz.or.tz/images/.../znzcoastalresources.pdf
books.google.co.tz/.../The_Zanzibar_Stone_Town_Large_Trees_Inve.html?
...
komboherbs.blogspot.com/
books.google.com/.../The_Zanzibar_Stone_Town_Large_Trees_Inve.html?id
...
zanzibarplants-ed.blogspot.com/.../assessment-of-traditional-herbs-as.html
kunga-za-manayakanga.blogspot.com/2014_11_01_archive.html
yussufkombowasini.blogspot.com/.../mr-yussuf-h-kombo-visits-to-wasini.
html
www.who.int/.../zanzibar_traditional_medicine_policy.pdf
mangroves-zanzibar.blogspot.com/
princeandherbs.blogspot.com/
prince-salmin-shamsi.blogspot.com/.../team-of-zanzibar-herbalists-from-right
.html
zuzunarohotambe.blogspot.com/
kombo-ulcers.blogspot.com/2008_11_01_archive.html
15.
ROLE
OF ZANZIBAR TREES IN TRADITIONAL HEALINGS : Make ...
zanzibartrees.blogspot.com/.../make-use-of-gift-of-nature-in-human.html
zainzibarcrows.blogspot.com/
yussuf-kombo-and-mangroves.blogspot.com/
visiting-paola.blogspot.com/.../paola-agostiini-visiting-conservation.html
primate.rutgers.edu/pfscp/Struhsaker_Siex1998.pdf
zanzibar-biodiversity-climate-energy.blogspot.com/2010_04_01_archive.
html
kiwani-islet-zanzibar.blogspot.com/
afrikinfos.com/en/.../foresters-challenge-people-to-conserve-water/
Subscribe to:
Posts (Atom)